Psalms 72:2-4

2 aAtawaamua watu wako kwa haki,
watu wako walioonewa kwa haki.
3Milima italeta mafanikio kwa watu,
vilima tunda la haki.
4 bAtawatetea walioonewa miongoni mwa watu
na atawaokoa watoto wa wahitaji,
ataponda mdhalimu.
Copyright information for SwhNEN